Ndiyo ya kuwa footballer

Ndiyo ya kuwa footballer

Noahs Ark

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2023
Posts
2,138
Reaction score
3,886
Hamjambo?

Hivi kama mwanao ana ndiyo ya kuwa mchezaji mpira wa miguu na ukimwona ni kweli ndiyo mchezo anaupenda sana.Unafanyaje, maana ndiyo kwanza ni std 5.

Mi binafsi Kila anaponidokezea suala la yeye kuwa footballer ukubwani huwa namwambia "we soma sana mwanangu,mpira utaukuta tu".
 
Muhimu ni kumsaidia kubalance muda..kuwa muda flani ni wakusoma asome kweli ikifika time ya kucheza mpira usimbanie muachie aguse Mali

Maana anaweza kuwa na kipaji kweli kikamnufaisha kuliko masomo
 
Muhimu ni kumsaidia kubalance muda..kuwa muda flani ni wakusoma asome kweli ikifika time ya kucheza mpira usimbanie muachie aguse Mali

Maana anaweza kuwa na kipaji kweli kikamnufaisha kuliko masomo
Nimekuelewa mkuu, pamoja sana
 
Back
Top Bottom