S SautiYaMnyonge JF-Expert Member Joined May 13, 2018 Posts 439 Reaction score 742 Dec 26, 2018 #1 Wamepambana kutafuta fedha Januari mpaka Disemba na wakaweka akiba kwa ajili ya kufurahia sherehe ya krismas na mwaka mpya ila hivi ndivyo ilivyokuwa.... Unywaji pombe wa namna hii ni starehe au mateso? #KwaRahaZao #TumiaPesaIkuzoee
Wamepambana kutafuta fedha Januari mpaka Disemba na wakaweka akiba kwa ajili ya kufurahia sherehe ya krismas na mwaka mpya ila hivi ndivyo ilivyokuwa.... Unywaji pombe wa namna hii ni starehe au mateso? #KwaRahaZao #TumiaPesaIkuzoee
Ilankunda1234 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 4,840 Reaction score 4,812 Dec 27, 2018 #2 Huu nao ni umbea, uanakuhusu nini??
Mkubwa ndevu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 1,043 Reaction score 358 Dec 27, 2018 #3 Faida za pombe
Justine_Dannie JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 1,962 Reaction score 1,622 Dec 27, 2018 #4 Hizi picha ziendelee, maana najiona mjanja sana kuacha pombe