nashukuru kwa ushauri wako....mimi nafanya kaz.hujamalizia ww ni mwanachuo au unafanya kazi....!!!!!
tatizo la kukaa kimya huwa ni kwa wagen tu au hadi kwa uliwazoea!!!!
na kustack kwa brain is not an issue kuna wakat kichwa kinakuwa overloaded so kinachanganya mafile.,...!!!!!
kawaida tu....!!!!
naomba unielezee kiundani please am tired of this behaviour.Hii mada ipelekewe JF DOCTORS,Unatatizo linaloitwa SOCIAL FOBIA...Nitarudi baadae kukujuza zaidi kuhusu hilo...
Soma hio link ya HOFU NA WOGA!naomba unielezee kiundani please am tired of this behaviour.
nashukuru kwa ushauri wako....mimi nafanya kaz.
naweza nikawa kimya hata kwa niliowazoea.
nashukuru kwa ushauri wako....mimi nafanya kaz.
naweza nikawa kimya hata kwa niliowazoea.