[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kulipa kodi kusimfanye awe na kiburi na kutotii mamlaka"Wasiopenda kufanya kazi na kulipa kodi ndio watalalamikia uongozi wako (Rais Magufuli) maana wanataka vya ubwete, au maisha ya mkato.. ila mie binafsi nafurahishwa na uongozi wako maana sio mtu wa ahadi, ni mtu wa vitendo, yaani unalolisema unatekeleza haswa"
By DiamondPlatinumz
Wewe hauoni Bashite anavyocheza na akili ya mkulu.. ni kusifia tuUkijua udhaifu wa mtu raha sana
Mbona hakusema mapema?"Wasiopenda kufanya kazi na kulipa kodi ndio watalalamikia uongozi wako (Rais Magufuli) maana wanataka vya ubwete, au maisha ya mkato.. ila mie binafsi nafurahishwa na uongozi wako maana sio mtu wa ahadi, ni mtu wa vitendo, yaani unalolisema unatekeleza haswa"
By DiamondPlatinumz
We mrundi nini?Wamebugi leo kuleta mtumba wao maana simba ndo habari ya town
MchatoWe mrundi nini?
"Wasiopenda kufanya kazi na kulipa kodi ndio watalalamikia uongozi wako (Rais Magufuli) maana wanataka vya ubwete, au maisha ya mkato.. ila mie binafsi nafurahishwa na uongozi wako maana sio mtu wa ahadi, ni mtu wa vitendo, yaani unalolisema unatekeleza haswa"
By DiamondPlatinumz
Acha upompo wewe. Mtumba upo wapi?Wamebugi leo kuleta mtumba wao maana simba ndo habari ya town
"Wasiopenda kufanya kazi na kulipa kodi ndio watalalamikia uongozi wako (Rais Magufuli) maana wanataka vya ubwete, au maisha ya mkato.. ila mie binafsi nafurahishwa na uongozi wako maana sio mtu wa ahadi, ni mtu wa vitendo, yaani unalolisema unatekeleza haswa"
By DiamondPlatinumz
Anajuta kupost video ya ATCLHadi watoto wamemjua mzee wao anapenda kusifiwa, ukimsifia utafaidi sana