naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,989 Reaction score 5,510 Jan 28, 2015 #2 Inauma sana mkuu kuona TZ imegawanyika siku hizi kuna shule zao na shule zetu na hiyo inakwenda mpaka kwenye ajira
Inauma sana mkuu kuona TZ imegawanyika siku hizi kuna shule zao na shule zetu na hiyo inakwenda mpaka kwenye ajira
B Baba N'ai Member Joined Jul 20, 2013 Posts 64 Reaction score 32 Jan 28, 2015 #3 Halafu unakuta wazazi wao kura zote wanaip CCM
Bright Smart JF-Expert Member Joined May 4, 2011 Posts 642 Reaction score 312 Jan 28, 2015 #4 utafiti unazitoaga wapi hizi!!, ila kiukweli Nchi yetu bado iko kwenye wakati mgumu sana, halafu kale kafisadi ka ESCROW eti kalipokea mchango wa 1.6billion kwa ajili ya wanafunzi wa shule yake wenye hali ngumu huku wanalipa ada ya 5million...
utafiti unazitoaga wapi hizi!!, ila kiukweli Nchi yetu bado iko kwenye wakati mgumu sana, halafu kale kafisadi ka ESCROW eti kalipokea mchango wa 1.6billion kwa ajili ya wanafunzi wa shule yake wenye hali ngumu huku wanalipa ada ya 5million...
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,574 Jan 28, 2015 #5 :shock::bump2:😛oa