Dero
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 328
- 193
Hata mimi sipendi mwanaume anayejaza ndugu ndani, labda kama ni orphan ila hawa wanaokimbia kijijini, siwataki... Mrudishe huyo mtoto wa darasa la tatu kwa wazazi wake, mama arudi kwake awe anakuja home kwako kutembea tu ila usisahau kumtumia pesa za matumizi mara kwa mara. Halafu ni muda gani mtoto wenu anakaa kwa shangazi yake? Inaonekana hamuweki juhudi ya kutafuta h/gal, mkeo naye anachoka kupika chakula msufuria huo.