Ndio Msimu Wake...!!!

Ilikuwa movie nzuri sana ngoja niwatafutie watoto waiangalie donlucchese mzima mkuuu
 
Last edited by a moderator:
Poa poa sana mkuu ni nzuri kwa watoto waiangalie msimu huu
kweli mkuu, nikutakie heri ya sikuu ya xmass na mwaka mpya kwako na kwa familia mkuu japo hujanialika bado!
 
Matoto ya siku hzi yanataka bongo muvi abazo ni mapenzi tena ambayo hata heshma hawana

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Matoto ya siku hzi yanataka bongo muvi abazo ni mapenzi tena ambayo hata heshma hawana

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

weka dstv halafu tupia ben 10 uone kama watataka kina kanumba..
 
Hahahaa..dah kwa mara ya kwanza 1996
 
niliona kwa gazeti huyo dogo amekuwa teja la kutupwa. . Dah ila nazipenda sana muvi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…