Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Picha zinaongea mameno milioni moja, hao watu wote hapo Hawawezi kuhudhuria mkutano nakusikiliza kisha wakabaki walewale. CCM huwa hawapendi watu waelimishwe! Wako radhi hata kutumia Polisi.
Tz ina polisi 55,000polisi wa Tanzania hawana uwezo wa kupambana na watanzania endapo wataamua kumbuka polisi laki nne wa jiji la Cairo wenye vifaa na uwezo mkubwa kuliko hawa wa kwetu na hawakuweza kuzuia watu. wakubwa muda si mrefu wataujua ukweli huu kwa maana wameshindwa kujifunza kutoka kwa wenzao wa nchi zingine za africa ikiwemo Burkina faso hivi karibuni wanafikiri wao ni special hawawezi kufikiwa na hali hiyo. tunasubiria suala la escrow halafu waone kitachofuata
Hapa adanganyi mtu Tanzania hakuna kuandamana. Na ukweli upo wazi kwenye chaguzi zote CCM wanashinda sasa hili la amani kupotea litatoka wapi? Mimi nasema mkiandamana mtapigwa tu