Ndio kwanza tunaanza

Hiki ni kiberenge??? au gari la kuvunia mpunga???
 
Si ajabu bodi ni kakakuona lakini injini ni ya Toyota.
who knows?
 
Last edited by a moderator:
bado natafakari. hivi...hii......mhhh:confused2:....ntarudi.
 
Huo ni ubunifu mzuri sana. hONGERA VETA kwa jambo hilo. endeleeni na mtaona matokeo. Wenzetu wa Ufilipino walitengeneza ya kwao wakaiita Jeepney...ya kwenu mtaiita nini? Labda "VETANEY" yangu macho nasubiri nione likiingia barabarani na kuchukua abiria
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…