Ndio inapaswa iwe siri

Ndio inapaswa iwe siri

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,602
Reaction score
1,864
Kwa fikra yakinifu,
Sioni umuhimu kwa watu wengi kufahamu kuwa umeoa au kuolewa.

Watu wanaopaswa kulijua hili ni wewe muoaji/muolewaji pamoja na wazazi wenu wanne pekee.

Ngoja nikuelewesha vizuri juu ya hili na faida zake.

1. UTU
Tendo la ndoa (sexy)ni jambo la aibu hivyo kulifanya kwa bayana na kuwaeleza watu kuwa munaenda kufanya tendo la ndoa tena kila siku ni kuwavunjia watu adabu na ni kama mnajiweka uchi.

2. UCHUMI
Kuwaeleza watu na familia yako kuwa unaoa ni hatari kwa uchumi, kwani utakuwa umewaalika ndugu na jamaa kuwa kalibu na nyumba yako. Hivyo itaathiri uchumi wako, mara nyingi utaanza pokea wageni ambao kama umgeoa kwa siri basi wasingekuwa wanakuja hovyo hovyo kwako.

3. MIGOGORO
Unapokalibisha ndugu nyumbani hapa nazungumzia ndugu wote yaani wako na wa mkeo, ndoa yako itajiweka kalibu na migogoro ya mara kwa mara, maana kila ndugu anapokuja nyumbani kwako atakuja na maada zake na story zake iwe kwako au kwa mkeo.

4. UHURU WA KINGONO
Mnapoitangaza ndoa itawanyima uhuru wa kupata ngono tena nje ya ndoa yenu.
Hii itapelekea mkeo au wewe kupata tendo kwa ugumu huko nje hivyo itapelekea kuiona ndoa ni kama mzigo. Wenyewe wanaita (password) yaani mtakuwa mmejipiga pin.

5. CHUKI
Kutangaza ndoa ni kama kuwatambia watu kuwa umempata mwenye maana sana kuliko wengine hivyo itasababisha macho ya chuki na husda katika ndoa yako,.

Mwisho

Ndoa nyingi zinashindwa kudumu sababu kubwa ni hiyo na ukiangalia haina maana yeyote ile katika maisha yenu ya ndoa.
 
Kichwa kichele
 
Siri kwa faida Gani. ata kukupata wewe ni jambo la aibu lilitokea then tufiche aib
 
Niliwahi kwenda tanga, nikakutana na jishangazi la haja mkuu..... si jimama linakiambia eti majini yake yametamani kunisafisha "sanduku la wapigakura" kwa tui la nazi shekh....😜
Ila jini la mtoto wa kitanga likikupenda, mahaba utayafurahia na hayo ya siri hauto yakumbuka...🤣
 
Ume sahau kumtaja jina lake 😂
 
Niliwahi kwenda tanga, nikakutana na jishangazi la haja mkuu..... si jimama linakiambia eti majini yake yametamani kunisafisha "sanduku la wapigakura" kwa tui la nazi shekh....😜
Ila jini la mtoto wa kitanga likikupenda, mahaba utayafurahia na hayo ya siri hauto yakumbuka...🤣
Tanga Kunani wameenda wapi
 
Back
Top Bottom