Moja kati ya majina makubwa katika soka kutokea ukanda wa Afrika Mashariki basi huwezi kuacha kutaja jina la nadhoa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta.
Samatta ni moja kati ya mastaa wa soka ambao hawapendi kuweka mali zao hadharani mara kwa mara lakini siku chache zilizopita amepost picha ya gari nyeupe ambayo inaelezwa ni ndinga yake mpya hongera kwake.
huwezi kuacha kutaja jina la nadhoa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta.
Hahaha huoni ndinga hio? Si mchezo bwana ..utashindana wapi na samata bwana japo hawez kushindana na akina alexis sanchez lakin milioni 50+ kwa mwezi sio haba bwana kwa miaka 2 hapo ana 1 Bilion na ushee