Ndimara awindwa ajisalimisha polisi

Isango

R I P
Jul 23, 2008
295
450
Mwandishi mkongwe nchini Ndimara Tegambwage akiwa anatoka ktk shughuli zake amefuatiliwa na watu wasiojulikana kwa namna isiyo ya kawaida akalazimika kugeuza na kujisalimisha kituo cha polisi wazo Hill, ndipo polisi wenye silaha wakamsaidia kufika kwake
 
Pole yake mzee wetu huyu. Na pia ashukuru sana Mungu kwa kushtukia hali hiyo mapema. Vinginevyo sasa tungekuwa tunazungumza habari za Mabwepande.
 
Mwandishi mkongwe nchini Ndimara Tegambwage akiwa anatoka ktk shughuli zake amefuatiliwa na watu wasiojulikana kwa namna isiyo ya kawaida akalazimika kugeuza na kujisalimisha kituo cha polisi wazo Hill, ndipo polisi wenye silaha wakamsaidia kufika kwake
Tunakushukuru kiongozi kwa taarifa
 
Huu ni ukanjanja...sijaona detailed info iliyokufanya useme anawindwa...huyu mwalimu wenu waandishi wa Tanzania anastahili kunyongwa...
 
Hivi kweli kama mtu anajua adress yako atahangaika kukufuatilia mji mzima kweli?,
 
Back
Top Bottom