Ndg yangu amepanga kuiibia serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndg yangu amepanga kuiibia serikali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gervase, May 28, 2011.

 1. g

  gervase Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  He's holding a certain position in gvt where he can manouvre vijisent. Ktk hali isiyo ya kawaida ameingizwa town na wafanyakazi wengine wa serikali/polisi eti gari lake lina outdated insurance. Akalipa eti ni faini tsh 500,000/=. Alipoomba lisiti kaambiwa ataletewa huku wanaondoa gari lao. Jamaa ameachwa palepale anatafakali gvt anayoitumikia! Kumbe serikali ndivyo ilivyo. Ameondoka kwa hasira akaelekea ofcn kwake kupokea wateja na kukusanya mapato ya serikali. Huyu jamaa anyamaze kimya au nae awalize wtz wengine? Nawasilisha.
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hii imekaa kiuongo vile!
  Huyo ni mtoto mdogo, ama hilo gari aliazima?
   
 3. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Inaonekana kama umeandika kitu kilichokutokea wewe mwenyewe!.
   
 4. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Huyu anaonekana anatuhadithia kitu kilichomtokea yeye mwenyewe. Na ana umri chini ya miaka 15.
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  mh nakatiza tuuu
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Huyo ndugu yako akapime akili kwanza . La sivyo inawezekana hata hiyo garii yake ni ya wizi ndio ndio maana hajiamini kiasi Polisi wanamchukulia hela kirahisi rahisi. La sivyo basi kwake kutoa rushwa ya 500,000 sio kero na si mara ya kwanza ....

  Vile Vile ama anatoa 500,000 inaonyesha na yeye ni mpokea rushwa mkuu wala haitaji ushauri. Ila mtahadhirishe tu mwambie siku zake zinahesabika. Siku anatoa au anapokea atakamatwa tu.

   
Loading...