John kirua
Senior Member
- Dec 7, 2021
- 143
- 108
Iyo hali hata sielewi jaman naomba ushauri nitumie dawa gani mwanangu hapone wakuu.
Asante sanaaMkuu pole ebu mtafutie dawa inaitwa BBE ni nzuri sana unamwogesha maji ya moto alafu unampaka
Asante sanaa ndgTafuta sabuni ya dawa hasa Dettol (Kuna cool, active, skincare, origin na zinginezo Ila hakikisha n original Mana fake n nyingi mtaan) Kama upo dar, Arusha au Dodoma nenda shoppers supermarket n uhakika Mana wao wanaingiza direct kutoka India na chache South Africa ambazo zote n original. Bei kuanzia 1,500.00
Kuosha kichwa na kuoga Ni maji ya Moto Bei jua gharama ya mkaa au gesi hapo nyumbani kwako
Ikiwezekana nunua Dettol ya maji Ile yenye chupa ya kuvunjika uwe unachangania na hayo maji Bei n kuanzia 2,000.00
Tafuta tube zisizo na cream ambazo zinaua bacteria na fungus maduka ya dawa zipo Bei n kuanzia 3,000.00
Ukitumia huu ushauri baada ya siku Saba utaona mabadiliko makubwa Sana.
Kingine na muhimu usimnyoe mpaka nywele ikawa hvyo fanya uwe unazipunguza kwa kiasi tuu