Ndesamburo njia panda

Ni ushauri tu nimetoa ambao unaweza kukubaliwa au kukataliwa,sijui unafiki wangu unatoka wapi hapo.
Heshima yake ni kuendelea kuwatumikia wananchi wa Moshi.Halafu hii ID tunaijua...acha unafiki huu unaoufanya mkuu
 
ccm moshi mjini ni sawa,na uoteshe mbegu juu ya batii.:-ata ikiwekwa mbuzi ishindane na ccm..ujue mbuzii ndio atakua mbunge wa moshi mjin...
 
ccm wana jipa moyo na david mosha aliekuwa katibu wa yanga ndio tegemeo lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…