Elections 2010 Ndesambburo Kuchafuliwa na Vyombo vya Habari

Kamende

JF-Expert Member
Mar 1, 2008
416
0
ZIkiwa zimebaki siku 2 uchaguzi mkuu ufanyike kikosi cha wandishi wa habari waandamizi wakiongozwa na wakongwe kutokea DSM wamepelekwa mjini Moshi kwa lengo la kutengeneza habari za kumchafua Ndesamburo kwa siku 2 zilizobakia.

Kikosi hicho tayari kimeshatengeza na kupeleka makala na habari kwenda magazeti mawili ya kiraifa yanayomilikiwa na watuhumiwa wa ufisadi na moja la umma. Habari hizo zitatoka kesho kwenye magazeti husika.

Kama kwamba haitoshi mkuu wa msafara huo anayeishi ambaye jina lake la ukoo linakwenda kama Shoo ataitisha Press Conference kesho ili aeleze kuwa wamegundua kuwa vijana wa CHADEMA watavaa sare za CCM na wataingia katika vituo vya kura kufanya fujo.Katika hotuba yake atasema kuwa vijana hao ambao watakuwa na sare za CCM si wa CCM bali ni wa CHADEMA ambao wameandaliwa rasmi kuvuruga uchaguzi.,

hAPA NAONA MAMBO MAWILI

  1. Kwa kweli CCM wameamua kuharibu uchaguzi bila kujali outcome yake
  2. Kwa vyovyote kuna mpango majsusi wa kupeleka vijana wa UV-CCM vituoni ili waharibu uchaguzi

CCM acheni hizo!!!!!!!!!!!
 
Nicky82

JF-Expert Member
Mar 14, 2009
941
195
kwani JK si alipanga kuaj huko kupiga kambi kumng'oa Ndesa, au mpango uliahirishwa?????
wanajisumbua tu, mtanzania/rai/habari leo/baily nwewz yanadoda kwenye mbao za magazeti... waTz tumeshaamua safari hii
 
Mtaka Haki

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
492
0
Ita Press conference ya watu makini kama Mwananchi nk useme kuna habari unazoomba CCM wazikanushe la sivyo mambo yako vibaya.
Huyo Shoo ni yule Gd? Au Jd?
 
omarilyas

JF-Expert Member
Jan 24, 2007
2,130
1,195
ZIkiwa zimebaki siku 2 uchaguzi mkuu ufanyike kikosi cha wandishi wa habari waandamizi wakiongozwa na wakongwe kutokea DSM wamepelekwa mjini Moshi kwa lengo la kutengeneza habari za kumchafua Ndesamburo kwa siku 2 zilizobakia.

Kikosi hicho tayari kimeshatengeza na kupeleka makala na habari kwenda magazeti mawili ya kiraifa yanayomilikiwa na watuhumiwa wa ufisadi na moja la umma. Habari hizo zitatoka kesho kwenye magazeti husika.

Kama kwamba haitoshi mkuu wa msafara huo anayeishi ambaye jina lake la ukoo linakwenda kama Shoo ataitisha Press Conference kesho ili aeleze kuwa wamegundua kuwa vijana wa CHADEMA watavaa sare za CCM na wataingia katika vituo vya kura kufanya fujo.Katika hotuba yake atasema kuwa vijana hao ambao watakuwa na sare za CCM si wa CCM bali ni wa CHADEMA ambao wameandaliwa rasmi kuvuruga uchaguzi.,

hAPA NAONA MAMBO MAWILI

  1. Kwa kweli CCM wameamua kuharibu uchaguzi bila kujali outcome yake
  2. Kwa vyovyote kuna mpango majsusi wa kupeleka vijana wa UV-CCM vituoni ili waharibu uchaguzi

CCM acheni hizo!!!!!!!!!!!
Kaka hii janja ya kuharibu huko halafu unakimbilia kupre-empty mambo jamiiforum haisaidi kura za Ndesamburo wala Mbowe lakini pia Tanzania tuliyokuwa tunaiotea enzi zile.....

Napata taarifa za kukatisha tamaa sana kutoka huko ambazo nawe unatajwa kuhusika.....What about the conviction to ensure world peace and security? It begans with Moshi and Hai........
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom