Elections 2010 Ndesa pesaaaa

MwanaCBE

JF-Expert Member
Sep 23, 2009
1,771
804
Mpaka sasa Moshi mjini Ndesambulo kata 18 kati ya 21. Sourse Star TV.
 
Kulikuwa na habari za kuchakachuliwa hapa kwamba mzee Ndesa mambo haykuwa mazuri but for this post it seems they have proved them selves wrong
 
Hayo ndio mambo ya mzee wa 'kula kwa mama (CCM), kulala kwa baba (CHADEMA)..Sipati picha 2015, God help us live to see that day!
 
Back
Top Bottom