nico winto
Member
- Jul 2, 2017
- 34
- 27
Waliotumia ndere NI kweli hii dawa inamvuto mkali au stori za vijiweni, Kuna wadau wameniambia ukitumia hi unapata dem yeyote hata awe mwarabu je NI kweli?
Kwa style hiyo utachunwa paka ukomeTafuta hela utapata kila demu umtakae. Halaf kingine, hivi karne hii tunayokwenda nayo ni ya kutumia dawa za mvuto wa mapenzi??. Tena mtoto wa kiume!!!. Mambo hayo waachie kina dada.
Ndugu nikwambie kweli hii ndere nina ushahidi nazo zipo za utajiri za mvuto na za vyeo na za biashara na makazin kuna babu yupo tanga hapa ni jirani yetu watu wanakuja na magari yao hapa kufuata iyo kitu kama vipi nitafute nikuunge nae uyo babu 0744903557Naitafuta sana hiyo ndere, hivi nstagram wanauza hiyo ndere na mkoani wanaweza kuwa wanatuma?
Wewe huo utajiri huutaki mpaka ubaki kuwa jirani wa huyo babu?.Ndugu nikwambie kweli hii ndere nina ushahidi nazo zipo za utajiri za mvuto na za vyeo na za biashara na makazin kuna babu yupo tanga hapa ni jirani yetu watu wanakuja na magari yao hapa kufuata iyo kitu kama vipi nitafute nikuunge nae uyo babu 0744903557
unapata dem yeyote hata awe mwarabu je NI kweli?

Mkuu una experience nazo?""if hard work pay show me rich donkey ""
infanya kazi ila ikiisha nguvu yake au ukaamua uache kutumia hata kuku atakuchukia hamna mwanamke uta date nae labda mbuzi ni gundu balaa
nimeishi na wadau wangu wamezitumia nilikuwa nawaona jinsi wanavyolalamika plus baada ya kubadilisha mademu kwa sana kitu ambacho nlkuwa nawaona waliishia kubadilisha ni nguo zao walijuta kuzitafutaMkuu una experience nazo?
Kwa hiyo baada ya kuisha nguvu madem wakawa wanawagomea au Niwao tu waliamua kutulia zao baada ya kuchoka. Na zinakuwa active kwa muda gani?nimeishi na wadau wangu wamezitumia nilikuwa nawaona jinsi wanavyolalamika plus baada ya kubadilisha mademu kwa sana kitu ambacho nlkuwa nawaona waliishia kubadilisha ni nguo zao walijuta kuzitafuta
Wewe hutaki kuwa tajiri hadi ubaki kuwa mpenzi mtazamaji wa magari ya matajiri?Ndugu nikwambie kweli hii ndere nina ushahidi nazo zipo za utajiri za mvuto na za vyeo na za biashara na makazin kuna babu yupo tanga hapa ni jirani yetu watu wanakuja na magari yao hapa kufuata iyo kitu kama vipi nitafute nikuunge nae uyo babu 0744903557