Bora hata we umesema, ndemla ametoka mbali sana na simba, na ameisadia pia kwa mengi na makubwa.
Kipaji pia anacho tena cha kiwango bora kabisa, sijui why hapewi nafas ktk team now time, inaumiza San kwa mchezaji mwenyewe hadi mashabiki
Ifike hatua sasa ndemla apewe nafasi ili kuweka kiwango chake ktk ubora ule ule maridhawa, kiukweli huwa naumia mno tena sana ndemla anavopotezwa kirahisi kabisa tena pasipo ulazima wowote.
Nampenda ndemla tangu ndani ya uwanja, nje, na hata ktk uwanda mwingine nampenda sana huyu mwanaume.
Ila anachofanyiwa inauma san, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]