Urgent - Due to an electricity outage at the Mwanza airport all airlines have been forced to cancel flights departing after sunset. Your reservation XXXXXX has been moved to flight FN0131 on 02AUG. We are sorry for the inconvenience but this is beyond Fastjets control. For further info please contact yor nearest fastjet office or call 255784108900
Na bado hakuna wa kuwajibisha wala kuwajibishwa...
Tuanzie wapi? Maana ni mlolongo mrefu utagusa mpaka wizara.
Tunaanza na wa chini kwenda juu hadi tutapata anayehusika tu...
Na bado hakuna wa kuwajibisha wala kuwajibishwa...
Hivi huu upuuzi unaofanywa na Tanesco utaisha lini jamani?mbona tunapata manyanyaso kwenye nchi yetu na pesa ya umeme tunalipa? Imenikera sana hii
kiukweli sumtime huwa naona aibu kuitwa mtanzania
Hivi huu upuuzi unaofanywa na Tanesco utaisha lini jamani?mbona tunapata manyanyaso kwenye nchi yetu na pesa ya umeme tunalipa? Imenikera sana hii