Ndege zinamkataa: JK ampe lift jamani!

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,395
Reaction score
13,273
Kijana Sande Mrema mwenye tatizo la uzito wa kilo 250 na umri wa maiaka 25 ameshindwa kusafiri kwenda nchini india katika matibabu yake baada ya kushushwa mara kadhaa kwenye ndege za kimataifa anazotakiwa kusafiria licha ya ndugu zake kulipa Gharama zote za usafiri wake

Mimi naomba JK katika moja ya safari zake za ughaibuni akitumia ile ndege yetu tuliyonunua kutokana na kula nyasi ampe lift halafu amdrop hapo Apolo India halafu yeye aendelee na safari zake. Kuna mtu kasema Busha mwisho Chalinze, mjini Tezi dume!



Source: ITV
 
Huyu anatakiwa kufanya mazoezi ya mbio tu na chips mayai ndo asiguseee ni dona na mrinda na maji ya vuguvugu tuu kwa mwezi mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…