Ndege zetu za kivita

Ndege zetu za kivita

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,968
Hebu wataaramu tujuzeni hizi zina uwezo gani

d1.jpg

d2.jpg
 
Hizo makitu ni za mazoezi tu...
 
Midege ya kunyunyizia dawa kwenye pamba hii..hakuna ndege hapo mautumbo tupu hayo
 
Hama kitu hapo ni uchafu tu huo, ndio maana zinaishiaga kudondoka na kuua wanajeshi-marubani...
 
zilipigana vita ya kwanza kati ya Tz na Ug 1972
 
mh! these are training jets (trainers) and not fighter jets....unless tuliuziwa mbuzi kwenye gunia kwani kwa muonekano tu hizi ata speed yake inaweza kua march 0.5 so haziwez kua wala kwenda kwa supersonic speed na mandege dizaini hii na rangi yake ni kwakujifunzia tu japo na yenyewe yanabeba payload za silaha kwa kujifunzia
 
Back
Top Bottom