Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,671
- 149,850
Watumishi wa umma ni miongoni mwa watu waliokuwa wanasafiri sana na ndege kwa safari za kikazi za ndani na nje ya nchi na kwakweli walikuwa ni wateja wakubwa wa mashirika ya ndege.
Kwa mfano,wakurugenzi,mameneja na wafanyakazi wengine wa umma ndio waliokuwa wakitumia ndege hizi kwa safari za kikazi kwenda na kurudi mikoani na hata kusafiri kwenda nje ya nchi.
Sasa katika hali ya sasa ya kubana matuzi ambapo bajeti za mashirika na Taasisi za umma zimepunguzwa(OC zimepigwa panga),watumishi wa serikali watapanda ndege hizi kwa kutumia hela gani ili hali wamebwana?Je,si kweli kuwa ni ma-CEO tu ndio watasafiri na ndege hizi kwa safari za ndani na watumishi wengine wa vyeo vya chini watatakiwa kusafiri kwa mabasi?
Wafanyabiashara wa kupanda ndege hata kwa safari za ndani leo hii nao hawajapungua baada ya wao kubanwa kibiashara?
Kama haitoshi,leo hii hata wanasiasa nao hawana sababu ya kupanda ndege kutoka Dar-es-salaam kwenda Mwanza kufanya mikutano na shughuli nyingine za kisiasa kwasababu nao umewazuia! Ndege hizi sasa atapanda nani? Tunaelekea wapi kama Taifa?
Serikali kununua ndege zake ni jambo jema lakini tufahamu inakuja kuongeza ushindani wa biashara hii hapa nchini wakati idadi ya wateja ikiwa kwenye hati hati ya kupungua.Sasa katika hali hiyo hapo ni nini kitafuata?
Mtumishi kabanwa,mfanyabiashara kabanwa,fisadi na mkwepa kodi nao hawapumui(japo ni jambo jema), watalii nao wanatishia kufuta safari zao za kuja hapa nchini,sasa tujiulize, katika hali hii, ndege hizi atapanda nani?