MAKOSHNELI kama wewe kweli ni CHADEMA nikimaanisha unachosema, unachowaza na unachotenda ni chadema basi chama chako ni hatari kwa usalama wa nchi yoyote hapa Duniani. Yaani unadiriki kusema eti vindege vya kizamani, j10 vinatishia CHADEMA JK avute siku? Yaani jeshi litumike kutishia CHADEMA? what is CHADEMA my dear?