Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
ni kweli ni about 12hrs to dar, kuliko nauli kubwa ma saa mengi kwenye hiyo 540.asante kwa taarifa, mimi nitaendelea kupanda mabasi kati ya mza na dar.
kwan nauli ya ndege kutoka dar kwenda mwnz ni sh ngap jaman
Panda air tanzania, kitu ni noma! nauli sawa na bure! kwa nn 540 hawakushusha bei zao mpaka air tanzania watangaze bei ndogo? wauni tu hao, sawa na precision, wote wauni! kitu ni air tanzania, tuwe wazalendo tuachane na ndege za kiuni uni! mungu ibariki tanzania, mungu ibariki air tanzania, nauli ni 199,000 dar mwanza dar hakuna usumbufu, dk 45 umeshafka, kitu boing ya ukwel 737, precision n wezi balaha! nauli kama unaenda ugaibuni! nauli ni 460,000 dar mwanza dar