‘Ndege Ya Wachawi’ yaanguka Newala

‘Ndege Ya Wachawi’ yaanguka Newala

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,638
entertainment-1.jpg
Chombo kinachodaiwa kuwa ni ‘Ndege ya Wachawi’ kimeanguka katikati ya barabara wilayani Newala Mkoani Mtwara na kuzua taharuki miongoni mwa wakazi wa eneo hilo.
entertainment-5.jpg
Tukio hilo la aina yake limejiri hivi karibuni wakati chombo hicho maarufu kwa jina la ‘ungo’ kilipodondoka wakati kikikatiza angani​

entertainment-6.jpg

entertainment-9.jpg
 
Hakuna watu nawadharau kama wanaoubeza uchawi. Haya, mnaosema kuwa hakuna, njooni mueleze hiki chombo kilitokea wapi na klilikuwa kikielekea wapi. Je, ni mafuta yaliisha au ni rubani alipotea njia?? Uchawi upo ila wanapokosea na kutaka kumdungua asiyedunguliwa hayo ndo madhara yake. Utapotea njia au utapungukiwa na nguvu.
 
Watanzania hamna tukiwezacho Ila ushirikina Na uchawi. Taifa hili linejengwa kwenye misingi ya matambiko, mazindiko, makafara Na ibada za sanamu ikiwemo ibada za mwenge. Vyote hivi ni machukizo mbele ya Mungu aliye hai.
Tusipotubu, hatutatoboa kamwe
 
SANAA NA WASANII....HAPO ATAJITOKEZA MPIGA DILI ATASEMA YEYE NDIO ALIYEIDONDOSHA HIYO NDEGE KISHA KULA FEDHA ZA MAZWAZWA/WAJINGA.
 
Back
Top Bottom