neo1
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 576
- 845
Taarifa zinaeleza ndege yenye abilia 83 imeanguka huko Afghanistan.
Kikundi cha Taleban kimedai kuhusika na tukio hilo na kueleza ndege ni mali ya jeshi la anga la Marekani ilikuwa na viongoz waandamizi wa Jeshi na CIA wote wamefariki kwenye ndege hiyo.
Marekani yenyewe bado haijatoa taarifa rasmi. Zaid inasema uchunguzi wa ajali hiyo unaendelea.
Chanzo:
sputniknews.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Update:
Marekebisho: kwenye ndege hawakuwepo watu 83..
Ilikuwa ni ndege ya CIA
UPDATES:
taarifa zinasema alikuwepo kwenye ndege Michael D' Andrea ambaye ndo mkuu wa operation za kijasusi dhidi ya Iran,Iraq na Afghanistan..
ifpnews.com

Live Updates: Aircraft Crashes in Eastern Afghanistan
There are no immediate reports about the cause of the incident and the number of casualties. The Defence Ministry has not commented on the incident so far.
sputniknews.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Update:
Marekebisho: kwenye ndege hawakuwepo watu 83..
Ilikuwa ni ndege ya CIA
UPDATES:
taarifa zinasema alikuwepo kwenye ndege Michael D' Andrea ambaye ndo mkuu wa operation za kijasusi dhidi ya Iran,Iraq na Afghanistan..
Murderer Of Soleimani Killed In US Plane Downing In Afghanistan: Sources - Iran Front Page
Russian intelligence sources have confirmed that Michael D’ Andrea, the head of US intelligence operations against Iraq, Iran and Afghanistan, has been killed in Taliban's shoot-down of a US military plane in Ghazni.