ndege ya bill clinton yatua kwa dharula

ndege ya bill clinton yatua kwa dharula

nguvu

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
24,060
Reaction score
23,676
wakuu nimesoma habari hii kwenye tv ya citizen ya kenya kuwa ndege aliyopanda rais wa zamani wa marekani na binti yake chelsea imetua kwa dharula ikitokea iringa kwenda manyara mwenye taarifa zaidi atujuze
 
Imetua wapi? Hao citizen tv kwny habari yao wamesemaje kwani? Au kidhungu kigumu hujaelewa mkuu???
 
wakuu nimesoma habari hii kwenye tv ya citizen ya kenya kuwa ndege aliyopanda rais wa zamani wa marekani na binti yake chelsea imetua kwa dharula ikitokea iringa kwenda manyara mwenye taarifa zaidi atujuze

= dharura
 
Híi habari ya crash landing nimeiona jana hapa jf. Maybe that robotoid is in trouble? Halafu all night long huku tulikuwa na news blackout. Internet ilikuwa haipatikani.
 
Back
Top Bottom