Kibirizi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 604 Reaction score 149 Jun 2, 2012 #1 Leo katika matembezi yangu nikakutana na gari linalotangaza kwamba hivi karibuni (ndani ya wiki moja) ndege ya 540 inatarajia kuanza safari za Kigoma - Mwanza - Dar es Salaam <---
Leo katika matembezi yangu nikakutana na gari linalotangaza kwamba hivi karibuni (ndani ya wiki moja) ndege ya 540 inatarajia kuanza safari za Kigoma - Mwanza - Dar es Salaam <---
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,539 Reaction score 7,960 Jun 2, 2012 #2 Safi sana, huo ushindani baina ya makampuni ya ndege ndio tunaupenda.
manka mpalestina Member Joined Dec 19, 2011 Posts 32 Reaction score 4 Jun 2, 2012 #3 wamiliki ni raia wa nchi gani ?
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,555 Reaction score 17,949 Jun 2, 2012 #4 Mi ntaendelea kupanda ADVENTURE BUS! Dar-Kigoma!
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 19,989 Reaction score 24,028 Jun 2, 2012 #5 ATCL nayo yaja kwa kasi yakiwa makampuni 3 itakuwa poa sana
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,613 Jun 2, 2012 #6 Kaunga Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Swts JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 3,062 Reaction score 1,296 Jun 2, 2012 #7 Asavali.. Kuna ile ilikuwa inatrip za tabora,after ajal,ikafa..nway,wamiliki ni wanani
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Jun 2, 2012 #8 Mshuza2 said: Mi ntaendelea kupanda ADVENTURE BUS! Dar-Kigoma! Click to expand... kwani we ulitaka upande nini kama uwezo wako unaishia hapo!!anyway ume improve toka trein hadi adventure!
Mshuza2 said: Mi ntaendelea kupanda ADVENTURE BUS! Dar-Kigoma! Click to expand... kwani we ulitaka upande nini kama uwezo wako unaishia hapo!!anyway ume improve toka trein hadi adventure!
Finufingi Senior Member Joined Feb 1, 2012 Posts 139 Reaction score 50 Jun 2, 2012 #9 Zamaulid said: kwani we ulitaka upande nini kama uwezo wako unaishia hapo!!anyway ume improve toka trein hadi adventure! Click to expand... Acheni kukafikiana-hali yetu sote inafahamika, hatulingani kiuwezo.
Zamaulid said: kwani we ulitaka upande nini kama uwezo wako unaishia hapo!!anyway ume improve toka trein hadi adventure! Click to expand... Acheni kukafikiana-hali yetu sote inafahamika, hatulingani kiuwezo.
Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,501 Jun 2, 2012 #10 The Boss said: Kaunga Click to expand... The Boss najua, wameshakuja kutafuta wateja ofisini kwetu! ATC pia wataanza soon, so kutakuwa na 3 airlines! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
The Boss said: Kaunga Click to expand... The Boss najua, wameshakuja kutafuta wateja ofisini kwetu! ATC pia wataanza soon, so kutakuwa na 3 airlines!