Ndege wote walie,akilia bundi...........

Anaogopwa kwasababu za kishikina na kichawi, Ila Bundi kama ndege ni Mzuri tu wakuu, Mbona hata Fisi anatumiwa lakini hasemwi kama Bundi ????
 
Kizazi hiki cha vijana wala hakuna anayeogopa mlio wa Bundi maana hawamuoni wala kumjua vizuri tofauti na enzi zile,ilikuwa akilia usiku jirani na nyumba hakuna anayelala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…