Ndege Wazuri......

Kweli akili yangu ni mgando......i didnt think about this at all....haya wajameni ni wazuri kweli....
 
Huyu hata hafai. Usiku nakwijia kijana maana mie ni kosa kuona ndege wa hivi. Yaaani wewe kushneeeeeeeeeeeeee

mwalim wangu wa english o level aikuwa ni mu Irish alituambia kwao ireland bundi akitua nyumbani kwako ni GOOD OMEN yaani una bahati so ni vice versa na huku wao kunguru ndo anahusishwa na uchawi but in very rare case
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…