client
JF-Expert Member
- Dec 13, 2015
- 664
- 861
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kisayansi, kunguru ana uwezo wa kuusoma na kuutambua uso wa mwanadamu na kisha kuwaonya wenzake kwa ishara kuhusu uso unaoonyesha hatari.
Kama ilivyo kwamba mwanadamu anaweza kusoma sura ya
mwanadamu mwenzake vivyo hivyo kunguru ana uwezo huu.
Vilevile kunguru hawasahau uso wa mwanadamu aliye wafanyia kitu kibaya.