Itakuwa ujazo (volume) ya ndege yenyewe.Air buss 250 psnger na hilo dubwaha abiria 50. Ukubwa unamaanisha nini?
Amavubi, sijakuoata bado.. Kwa hio hio ni tani 50 na abiria 50 tofauti yake ni nini?tani 50 ni sawa na abiria 500 Saint Ivuga kwa watu wenye wastani wa kilo mia
hapo unaongelewa ukubwa wa ndege kumaanisha uwezo wake kwa kubeba mizigo na abiria, uliposema abiria 50 dhidi ya 250 ndipo nikakwambia ukumbuke pia ina uwezo wa kubeba tani 50 na hapo ndipo sifa yake (niche) inapokuja, kinachokuchanganya nadhani ni kufananisha ukubwa wa ndege ya abiria na ukubwa wa ndegeAmavubi, sijakuoata bado.. Kwa hio hio ni tani 50 na abiria 50 tofauti yake ni nini?
Au ni ndege ya mizigo?
Au unamaanisha inaweza kuben abiria wenye uzito wa tani 50?
Embu niweke sawa amavubi...
hapo unaongelewa ukubwa wa ndege kumaanisha uwezo wake kwa kubeba mizigo na abiria, uliposema abiria 50 dhidi ya 250 ndipo nikakwambia ukumbuke pia ina uwezo wa kubeba tani 50 na hapo ndipo sifa yake (niche) inapokuja, kinachokuchanganya nadhani ni kufananisha ukubwa wa ndege ya abiria na ukubwa wa ndege
Ndege Kubwa Kuliko zote duniani si ndege kubwa ya abiria kuliko zote.............
hapo unaongelewa ukubwa wa ndege kumaanisha uwezo wake kwa kubeba mizigo na abiria, uliposema abiria 50 dhidi ya 250 ndipo nikakwambia ukumbuke pia ina uwezo wa kubeba tani 50 na hapo ndipo sifa yake (niche) inapokuja, kinachokuchanganya nadhani ni kufananisha ukubwa wa ndege ya abiria na ukubwa wa ndege
Ndege Kubwa Kuliko zote duniani si ndege kubwa ya abiria kuliko zote.............
Safi sana asipo kuelewa na hapo anamatatizo nimependa maneno ya mwisho ulivyo concludehapo unaongelewa ukubwa wa ndege kumaanisha uwezo wake kwa kubeba mizigo na abiria, uliposema abiria 50 dhidi ya 250 ndipo nikakwambia ukumbuke pia ina uwezo wa kubeba tani 50 na hapo ndipo sifa yake (niche) inapokuja, kinachokuchanganya nadhani ni kufananisha ukubwa wa ndege ya abiria na ukubwa wa ndege
Ndege Kubwa Kuliko zote duniani si ndege kubwa ya abiria kuliko zote.............
Du!!!View attachment 320292
Inaitwa HAV304. Imetengenezwa na kampuni inayoitwa Hybrid Air Vehicles. Inaweza kukaa angani kwa muda wa wiki 3 na nusu. Itauzwa kwa bei ya paundi millioni 30. Itaweza kubeba abiria 50 na tani 50 (kilogramu 50,000) za mzigo.
Itakuwa na uwezo wa kutua kwenye barafu, kwenye maji na nchi kavu. Itakuwa na sehemu za helicopter na ndege ya abiria ya kawaida. Hivyo haitahitaji uwanja wa ndege ili kutua.
Baadhi ya kampuni za ndege zimeonesha kwamba zinataka ndege hiyo, lakini bado haijapata wateja wengi.
Mambo yakienda sawa, hii ndiyo itakuwa ndege kubwa zaidi duniani. Kwa sasa, ndege aina ya Airbus A380-800 ndiyo ndege kubwa zaidi duniani. Ina uwezo wa kubeba aibiria zaidi ya 250!
Ha ha ha !!!nilishaanza kutafuta panado
Kama ni hivyo ni ndogo Tu inapitwa na ile ndege iliyoleta mitambo ya kufua umeme kama siyo Richmond itakuwa iptl
You missed some point mkuu Saint. Ukubwa wa ndege sio abiria ni prpose. Ndege zina namna,zipo zenye abiria wengi mizigo kidogo na zenye mizigo kidogo abiria wengi. Ukubwa wa ndege haupimwi kwa abiria bali kwa uwezo inayoinuka nao huko angani.Air buss 250 psnger na hilo dubwaha abiria 50. Ukubwa unamaanisha nini?