Ndege inayotumia Solar Power - Solar Impulse

Chief

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2006
Posts
4,068
Reaction score
3,884
Kwa wale ambao ni wapenzi wa sayansi na technologia, unaweza kutembelea hii website Solar Impulse RTW - 8th Leg from Nagoya to Hawaii ambapo utapata habari, in real time, kuhusu ndege inayoendeshwa na nguvu ya jua, ambapo kwa sasa hivi ipo safarini kutoka Nagoya mpaka Hawaii mwendo wa Km 7735 juu ya bahari, safari inayotegemea kuchukua siku 5 non-stop. Lengo ni kusafiri kuizunguka dunia nzima. Soma habari yote kuhusu safari hii kwenye hii website. Extremely fascinating.

 
hatua nziuri sana
 
"km 7735 juu ya bahari" hii ni sentesi tata. Dadavua mkuu.
 
"km 7735 juu ya bahari" hii ni sentesi tata. Dadavua mkuu.
Ukiangalia ramani, utaona kuwa kutoka Nagoya Japan kwenda visiwa vya Hawaii, inabiri uruke juu ya bahari ya Pacific. Sasa fikiria siku 5 unasafiri. Je ndege ikipata matatizo utatua wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…