Ndege Iliyopotea ndio hii?

yes kuishi mjini akili!

we unadhani watu8 anapenda kifungo cha miezi mi3 ndani? lols!!

Ha ha ha ha mkuu Excel, nimekupata!!! Yaani huyu watu8 ni IQ kubwa sana ni generous!!! Tumhamishie Israel akaungawe na Jews kabisa maana kwa hapa Tanzania wenye IQ kubwa wameshachukuliwa na mataifa yaliyo serious na maendeleo. Kuna mmoja yuko Microsoft, mwingine IBM, mwingine NSA katika mitambo na huku Tanzania hata hawajui his whereabouts!!!
 
ah.... hii umeikuta pale kibaha eh eti watu8!
 
Last edited by a moderator:
Mods wamebadilisha title ya mwanzo...sijui kwa nini huwa wanafanya hivi hawa ndugu!!!

Heheheee pole kwani uliandika heading ilikuwa,inasomekaje? Kama nakuona unavolalamika usoni heheheeee
Ngoja nije
 
washauri hawa washamba kutofautisha picha na sanamu hapo kibaha
 
wewe watu nane;: sasa jamani kama huu si utani niniiii wacha zako!

Mmmh!!! hiyo ndege ilipotea kweli na sasa imenaswa na kamera za Jei efu mafoto...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…