Ndege iliyombeba Mkuu wa majeshi Libya imepoteza mawasiliano

Ndege iliyombeba Mkuu wa majeshi Libya imepoteza mawasiliano

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
769
Reaction score
1,729
Mawasiliano yamepotea na ndege binafsi iliyowabeba mkuu wa majeshi ya Libya Jenerali Muhammad Ali Ahmad Al-Haddad na watu wengine wanne waliokuwa wanaelekea Tripoli kutoka mji mkuu wa Uturuki Ankara. Na kuwepo na shughuli za dharura na ndege zingine kuelekezwa maeneo mengine. Waziri wa Mambo ya ndani Uturuki kathibitisha.

FB_IMG_1766520998019.jpg

Update:

Mabaki ya ndege yamepatikana na vikosi vya usalama vya uturuki na mkuu huyo wa Majeshi amefariki dunia.
 
imeisha hiyo ...

,,Naturally - given the high profile nature of the delegation - there will be questions over whether this was an accident, sabotage, or possible bomb blast. Haddad and the government he represented are bitter enemies of Gen. Khalifa Haftar in eastern Libya, which is supported by Russia. Turkey has been supporting the rulers in Tripoli from the start, soon after longtime ruler Gaddafi was overthrown in the NATO-backed war of 2011 ''
...

View: https://x.com/ragipsoylu/status/2003558121265144211?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E2003558121265144211%7Ctwgr%5E2a9623cf674f55eddedbdf76793c767d5b1a0634%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.zerohedge.com%2Fgeopolitical%2Fprivate-jet-carrying-head-libyas-military-crashes-after-take-turkey
 
Mawasiliano yamepotea na ndege binafsi iliyowabeba mkuu wa majeshi ya Libya Jenerali Muhammad Ali Ahmad Al-Haddad na watu wengine wanne waliokuwa wanaelekea Tripoli kutoka mji mkuu wa Uturuki Ankara. Na kuwepo na shughuli za dharura na ndege zingine kuelekezwa maeneo mengine. Waziri wa Mambo ya ndani Uturuki kathibitisha.

View attachment 3519732

Update:

Mabaki ya ndege yamepatikana na vikosi vya usalama vya uturuki. Habari kamil8 itatolewa.
We Mjinga, hii habari yako nilidhani inamhusu General Mkund.u
 
Haituhusu...bonge la off-target walahi, the angel of death make no mistake next time
 
Gen Z, mikwara kibao, vyenga vingi, pass milioni..
OFF TARGET -O
ON TARO - 0
 
Back
Top Bottom