kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
Yameanza mapema sana, ndege ya jeshi la Nigeria imepoteza mawasiliano hehehehe tangu ijumaa siku kama ile ilifanya unyama hahaha na bado.
sosi: bbcweb
TB Joshua hao waliokufa ametoa sadaka kwenye lile dhehebu la siri analoliabudu tofauti na hili analojionyesha wazi kuwa yupo nalo kwa hiyo mleta mada unatakiwa ujichunge sana ipo siku na wewe utatolewa sadaka(Kafara) kama hao wengine.