Ndege Hii........

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,265
17,120
1.jpg
 
Hili ni lidege la kivita lililobuniwa na rubani wa kirusi bwana kostantin klinin mwaka 1933. Ilikuwa na matatizo mengi ya kiusanifu kubwa likiwa ni dege lote kutetema isivyo kawaida kwa sababu ya mapanga boi mengi kwenye ndege.Kwa sababu hiyo dege hili lilianguka wakati linarushwa kwa mara ya 11, na kuua watu 16, 15 wafanyakazi wa ndege na mtu mmoja aliyekuwa chini ardhini.
 
hata aliyevumbua ndege alikufa akifanya majaribio ya kuirusha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom