dimaa JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 4,310 Reaction score 5,853 Feb 2, 2018 #1 Salute, Kuna kitu nakiwazaga sana lakini sipati majibu. Ndege inatumia mafuta gani ?, nilisikia wengine wakisema zinatumia mafuta ya taa. Kwahiyo jibu kamili sijapata. Wenye kujua watufahamishe.
Salute, Kuna kitu nakiwazaga sana lakini sipati majibu. Ndege inatumia mafuta gani ?, nilisikia wengine wakisema zinatumia mafuta ya taa. Kwahiyo jibu kamili sijapata. Wenye kujua watufahamishe.
carcinoma JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 5,058 Reaction score 13,852 Feb 2, 2018 #2 dimaa said: Salute, Kuna kitu nakiwazaga sana lakini sipati majibu. Ndege inatumia mafuta gani ?, nilisikia wengine wakisema zinatumia mafuta ya taa. Kwahiyo jibu kamili sijapata. Wenye kujua watufahamishe. Click to expand... Yako kama mafuta ya taa lakini wanayaongezea vitu flani flani.. Wajuzi wa mambo watakuja kieleza kwa undani
dimaa said: Salute, Kuna kitu nakiwazaga sana lakini sipati majibu. Ndege inatumia mafuta gani ?, nilisikia wengine wakisema zinatumia mafuta ya taa. Kwahiyo jibu kamili sijapata. Wenye kujua watufahamishe. Click to expand... Yako kama mafuta ya taa lakini wanayaongezea vitu flani flani.. Wajuzi wa mambo watakuja kieleza kwa undani
Lamar BlacAmerican JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 978 Reaction score 2,314 Feb 2, 2018 #3 Kuna uzi fulani hivi kuhusu mambo ya ndege tafuta huo jamaa kaelezea kinagaubaga kuhusu ndege jamaa ni engineer wa ndege...
Kuna uzi fulani hivi kuhusu mambo ya ndege tafuta huo jamaa kaelezea kinagaubaga kuhusu ndege jamaa ni engineer wa ndege...
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,740 Reaction score 76,383 Feb 2, 2018 #4 Paraffin
sandraeli JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 1,424 Reaction score 2,392 Feb 2, 2018 #5 Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)
dimaa JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 4,310 Reaction score 5,853 Feb 2, 2018 Thread starter #7 sandraeli said: Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane) Click to expand... Shukrani
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,918 Reaction score 172,846 Feb 2, 2018 #8 Zinatumia ya taa
dimaa JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 4,310 Reaction score 5,853 Feb 3, 2018 Thread starter #9 alibakari said: Paraffin Click to expand... Ni chemical gani inabadilisha hayo mafuta hadi kuwa paraffin?
alibakari said: Paraffin Click to expand... Ni chemical gani inabadilisha hayo mafuta hadi kuwa paraffin?