ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,803
- 60,649
Naomba kuunganishwa na mtu mwenye uzoefu wa kasuku wa kufugwa wanapatikana wapi na bei gani na mambo ya kuzingatia jinsi ya kuwafuga.
😅😅😅😅😅Mcheki [mention]National Anthem [/mention] huwa ni mwizi wa kasuku anao kwake
HAHAHAHAMcheki [mention]National Anthem [/mention] huwa ni mwizi wa kasuku anao kwake
Naomba kuunganishwa na mtu mwenye uzoefu wa kasuku wa kufugwa wanapatikana wapi na bei gani na mambo ya kuzingatia jinsi ya kuwafuga.
[emoji23][emoji23][emoji23] wee jamaa kila sehemu utani tu.Mcheki [mention]National Anthem [/mention] huwa ni mwizi wa kasuku anao kwake