ndefu lakini tamu (jamani shemeji)


copy&paste
 
Story imeshiba vizuri sana!! Hongera zako kijana!
 
Ungeipeleka kwenye jukwaa la mapenzi,kujali kwako ndo nafuu yako hongera

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

Hapana hili ndo jukwaa lake kwa kuwa si habari ya kweli, imetumika kama vichekesho kwa miaka mingi sana na nchi za wenzetu wameshaitengeneza hata filam fupi.
 
hongera kwa uvumilivu....INGEKUWA NI MIMI MASHETANI KESHAPANDA HAPANA MAVIMILIVU BOJA KO BOJA NAONDOA TATIZO.:help:
 
Daaah bora ulikumbuka kondomu maana aaibu yake sijui ungeifichia wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…