Ndayiragije: Nipeni mimi Yanga hiyo

Wana budi wa Yanga wanajadili Ombi lake.....

a2ba5132fbca1439df7b08a423b7876d.jpg
 
Mwambusi aliinoa Mbeya city vyema, ila baada ya kutua hapo bwawani anaonekana bure kabisa....
Huyo kocha abaki tu na mbao au aende kwingine ila siyo kwenye hizi club3 atatolewa kafara na ataishia kudharauliwa tu kama ilivyo kwa mwambusi sasa!!
 
Tatizo LA yanga ni technical staff.alafu yanga hawanaga kawaida ya kuingilia kupanga timu kama bi Hindu fc.aje ataleta mabadiliko makubwa
 
Pressure za Yanga sio za Mbao.
Anafaa sana kunoa vijana. Anaweza kupata tabu ku manage wakongwe. Coaching na Managing ni vitu viwili tofauti
Pamoja na yote ila kwa makocha hawa akina fuso Mara mia ya huo
 
Nipeni Mimi yanga hiyoo,hayo ni maneno ya kocha wa mbao,kwakwel hata mie naunga mkono huyu jamaa ni kifaa sana

Kamwe hawezi kusema hivyo..amewekewa maneno mdomoni...ni maneno ya waandishi wa habari 'uchwara'
 
Kamwe hawezi kusema hivyo..amewekewa maneno mdomoni...ni maneno ya waandishi wa habari 'uchwara'
Kwan kuna ubaya gan,mbona mourihno aliomba apewe man united,hiz ni zama za uwazi##HASHTAGmbaovyumavimebanaHASHTAG##
 
Back
Top Bottom