Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #141
Siogopi kutegwa ila naogopa kujikwaa
sawa mr.young umeeleweka
ok. nashukuru kwa kunielewa
nilikuwa genious shule,ni mwepesi wa kuelewa
nilikuwa genious shule,ni mwepesi wa kuelewa
Mkuu habari za Mwanza? Kuna watu walikuagiza samaki, nakukumbusha tu kwa niaba yao.
Mimi nilikuwa super genious. I was the best student in class.
yap bado nipo navyoona na wewe ni muhitaji kati ya hao
Hapana! Mimi sipendelei samaki kwa sababu walishanikinai kwa kua niliwala sana tangu utotoni mpaka nahitim elim ya sekondari.
unaishi kijiji gani?
Kijiji kinaitwa "kasomeko"
mtaa gani?mkoa gani?na kichochoro gani?
Mkoa-Mwanza
Wilaya-Sengerema
Kata-Katunguru
Kijiji-kasomeko
tupo along main road ya kutoka kamanga ferry kuelelea sengerema, stend ya hapo kasomeko.
kweli wewe ulifaidi samaki
ndiyo mkuu!
hebu niambie kesho nikale wapi mchana,na wapi panabamba weekend ishaanza
Nenda Hill Front hotel ipo pale igoma ila pembeni kidogo na barabara kuu iendayo Musoma upande wa kulia.
na usiku?
"Shinyanga Hotel" ipo Mwanza mjini mitaa ya igombe.
shinyanga hotel in mwanza?so kuna mwanza hotel in shinyanga?