Story:
Kwenye matatuu..
DADA: Samahani kaka
naomba unipakate
MKAKA: Usijari
mrembo,njoo tu
nikupakate
MDADA: Haya... (dada
akapakatwa)!
...Baada ya muda kidogo:-
MKAKA: Wewe
unaonekana ni Sekretari
eeh?
MDADA:Ndio, kwani vipi?
MKAKA: Mikono yako na
vidole vyako lainiii!
MDADA: Nawewe ni Fundi
magari?
MKAKA: Ndio,umejuaje?
MDADA: Hapa nilipokaa
naona nainuliwa na kitu
kama jeki!