Ndani ya FASTJET...

Ndani ya FASTJET...

ACCOUNT FULL

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
1,995
Reaction score
389
Habari, wana jamvi naomba kufahmishwa kwa wale ambao wameshawahi kuipanda hiyo ndege.Kwan kuna jamaa yangu kaja jana kutoka mwanza na hyo ndege,kaniambia kuwa vitu kama vinywaji na vitafunwa unanunua kwa cash, sasa naomba uhakika wa hilo ili nitakapoanza kuzimeki ili na mm nipande ndege kwa mara ya kwanza niweke na ka akiba ka vinywaji,namaanisha kwa nauli ya tsh 32 elfu ya bila vat,nasubiri majibu yenu ili nikaweke booking ya kuondoka mwezi wa 6 kuelekea mwanza,mwisho asanten fastjet kwa kufanya ndoto zetu za kupanda ndege kuwa kweli,naomba mungu aniwezeshe nifke huo mwezi wa sitaa
 
Hivyo ndivyo ilivyo.
 
Sawa mkuu,ila hata kasoda ka kulainisha koo kabla ya sato
 
Ndio hivyo mkuu...bora yako una ndoto za kupanda dege...wengine hata tukiambiwa kapande ni bure tunaogopa kuanguka......
 
Nauli ya eflu 32 Dar -Mwz kwa ndege za FastJet ilikuwa na bei ya 'promoshen' na ilisha 'expire' sijui ni kwa nini bado wanaendelea kutangaza nauli hiyo!
 
Lakin c wanadai ndege ndio usafiri wa usalama zaid??
 
Nauli ya eflu 32 Dar -Mwz kwa ndege za FastJet ilikuwa na bei ya 'promoshen' na ilisha 'expire' sijui ni kwa nini bado wanaendelea kutangaza nauli hiyo!

Kumbe? ss sa hv ni sh ngap? watutangazie bac bei halic watu tujue
 
Ndio hivyo mkuu...bora yako una ndoto za kupanda dege...wengine hata tukiambiwa kapande ni bure tunaogopa kuanguka......

Nataka twende Maui mi na wewe kwa holiday.......hapo vipi....?
 
halafu hivi ni lazima ule kwenye ndege? kwani hiyo safari ni ya masaa mangap?
 
ngoja akayaangalie maghorofa ya Dar na Mwanza akiwa juu. Yanapendeza muno hasa pale inapoanzia kigiragila lumo
 
Wewe Preta; utajamfanya jamaa aote usiku kucha akifikiri yuko mawinguni! Kha ha ha ha ha ha ha haaaaa!

Nataka twende Maui mi na wewe kwa holiday.......hapo vipi....?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom