RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 58,474
- 132,004
Hujawahi kupitia dirishani?Unanikumbusha mbaali sana, enzi flani nikiwa Mgulani j... Jioni wakati wa kurudi, magari ya mbagala yalikuwa ya shida sana, yaani wakati wa kupanda mnagombania na unaweza kuingizwa ndani kwa kubebwa juu juu, mtajikuta midume mitupu