Ndani ya CLUB 71 Tegeta

Annael

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,824
2,000
10310546_283799191794533_28021004272658964_n.jpg


Club 71 ya Kibo Complex Tegeta Kibaoni inakuletea "Birthday Party ya Cyrill Kamikaze". Ni Jumapili hii ya tarehe 1 May kuanzia 3 usiku mpaka kweupeeee kwa kiingilio cha 6,000 tu Mlangoni. Itapigwa Bonge moja la show na Cyrill Kamikaze, Nyandu Tozi na Suma Mnazareti. Na kwa mara ya kwanza Kamikaze ataperform ile single yake mpya iitwayo ALOWA siku hiyo. Host wa show ni Peti Man Wakuache na tutakata Keki na "Special Guest" Jackline Wolper, Linex na Quick Rocka. Wote mnakaribishwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom