Ndani ya CCM, Nape, January na Membe hawezi kupenya hata 16 bora mchujo kugombea Urais 2025!

Akili za ki communist mbaya sana kwa mustkbali wa nchi yoyote ikiwemo Tz . Huko kwingine wanakojua uongozi ni nini ,hata kama mtu yuko madarakani haizuii watu kutangaza nia. Na haijalishi kiongozi kuambiwa madhaifu yake. Siyo hizi salaam za chama na serikali ya Tz ya ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI.

Maghufuli ni binaadamu ataishi na atapita Tanzania itabaki.
Kamanda toa ushahidi wa tuhuma zako
 
Ndugu zangu,

Nimekaa muda mrefu nikitafakari jinsi ambavyo ''ndege mjanja alinaswa katika tundu bovu'', ni ngumu kuelewa ila nimeona nitoe mchango wangu nikiwa kama kada mwenye miongo kadhaa ndani ya CCM. Kwa jinsi chujio la wajumbe wa kamati kuu lilivyo na jinsi mambo yanavyoenda ni dhahiri sasa wadogo zangu Nape, January na rafiki yangu Bernard Membe ndoto zao kugombea uraisi kwa tiketi ya CCM imezimwa.

Ndio, nasema ndio, kwani kamati ya nidhamu ya nidhamu ndani ya CCM haitaruhusu hata kujadili fomu zao. Sikatai,kuwa wanaweza kugombea kama ''oil chafu'' kupitia Chadema au ACT ili wamalize hasira zao na kiu yao kuitwa wagombea uraisi.

Nimalize tu kwa kusema ndoto ya kugombea uraisi ndani ya CCM ni ngumu sababu kosa lao ni kupambana na Rais na Mwenyekiti wa Chama inashabihiana na kosa lao linashabihiana na rafiki yangu Edward.

Zaidi, ni ngumu kuibuka kutokea benchi endapo utakaa nje ya mfumo ya Chama na Serikali na kuwa na nafasi yenye ushawishi na kufanikiwa.

Muda utaongea.
Hao ndiyo wameshapotea kwenye siasa za TZ.
 
Vipi yule dada anayeitwa Suzan Shonja yeye akithubutu anaweza kupenya?
Yule kichwa chake hakiko sawa-sawa

tapatalk_1499199846672.jpeg
 
Ndugu zangu,
Nimekaa muda mrefu nikitafakari jinsi ambavyo ''ndege mjanja alinaswa katika tundu bovu'', ni ngumu kuelewa ila nimeona nitoe mchango wangu nikiwa kama kada mwenye miongo kadhaa ndani ya CCM. Kwa jinsi chujio la wajumbe wa kamati kuu lilivyo na jinsi mambo yanavyoenda ni dhahiri sasa wadogo zangu Nape, January na rafiki yangu Bernard Membe ndoto zao kugombea uraisi kwa tiketi ya CCM imezimwa.
Ndio, nasema ndio, kwani kamati ya nidhamu ya nidhamu ndani ya CCM haitaruhusu hata kujadili fomu zao. Sikatai,kuwa wanaweza kugombea kama ''oil chafu'' kupitia Chadema au ACT ili wamalize hasira zao na kiu yao kuitwa wagombea uraisi.
Nimalize tu kwa kusema ndoto ya kugombea uraisi ndani ya CCM ni ngumu sababu kosa lao ni kupambana na Rais na Mwenyekiti wa Chama inashabihiana na kosa lao linashabihiana na rafiki yangu Edward.
Zaidi, ni ngumu kuibuka kutokea benchi endapo utakaa nje ya mfumo ya Chama na Serikali na kuwa na nafasi yenye ushawishi na kufanikiwa.
Muda utaongea.
Swadakta
 
Akili za ki communist mbaya sana kwa mustkbali wa nchi yoyote ikiwemo Tz . Huko kwingine wanakojua uongozi ni nini ,hata kama mtu yuko madarakani haizuii watu kutangaza nia. Na haijalishi kiongozi kuambiwa madhaifu yake. Siyo hizi salaam za chama na serikali ya Tz ya ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI.

Maghufuli ni binaadamu ataishi na atapita Tanzania itabaki.
Hapo ndipo unapokosea kufikiri kuwa hao wakina Nape wanapambana na Rais Magufuli. Mkuu hao wanapambana na mfumo na Taasisi ya CCM siyo Saccos ya Chadema tofautisha Taasisi na Saccos. Muulize mgombea wenu wa urais wa 2015 Lowassa na washabiki wake wakina Salary Slip walifikiri wakati huo wanapambana na JK. Uliona kilichowakuta?
 
Neno.
 
..Jpm anaweza kutumia mbinu aliyotumia JK kumzima Lowassa.

..ila upo uwezekano wa Jpm kukwama kama alivyokwama JK kumbeba mtu wake mpaka akawa mpeperusha bendera wa ccm ktk ngazi ya uraisi.

..Maraisi wote walikuwa na wagombea wanaowataka lakini walishindwa kuwavusha ktk kinyang'anyiro cha kumpata mgombea Uraisi kwa ticket ya ccm.
 
Mtoa Mada haijui CCM ilivyo Wastaafu wa Urais wamewahi kushidwa kupitisha chaguo lao na mtu neutral kupita. CCM ni ile ile itawashangaza.
 
Back
Top Bottom