Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,872
Naona mnazidi kuweweseka ccm wakati utaongea vuta subira
hizi ndizo akili nyingi za wanachama wa ccm hata ukiwa professor au Dr ukiwa tu mwanachama wa ccm lazima u prof na u Dr wako uweke pembeni zinabaki zidumu fikra za mwenyekiti mkuu mbona unakuwa na matumizi mabovu ya akili namna hiyo? swali gani unauliza hata watoto waliotumboni mwa mama zao wanajua jinsi gani ccm ilivyo kiwanda cha kutendeneza mafisadi tena kwa kutumia technology ya hali ya juu
Kwakosa gani wamelifanya?
Pinda,Bilal waliwekwa kimpango mkakati.
Mwenye ushahidi wa ufisadi wa kiongozi yeyote wa CCM aulete na hatutaki porojo na asiishie kuusema tu amfikishe huyo fisadi kunakohusika.
Kwasasa CHADEMA/UKAWA wamedhihirisha kwamba CCM ni chama cha kizalendo na mafisadi hakuna. RAIS JKIKWETE SAAFI,MKAPA SAAFI,CHENGE SAAFI,N.K
Hivi unajua kusoma na kuelewa kilichoandikwa?Makosa yao wanayajua kamati ya maadili kwasababu waliwachunguza na kuwaondoa kwakuwa hawana maadili!Au wewe kwa uelewa wako nini maana ya kukosa maadili?Walizitendea nini ofisi za serikali mpaka waonekane hawana maadili?
CCM kwa mujibu ya viongozi wa chadema hakuna fisadi ila tatizo ni mfumo tu.LOWASSA ni mtu safi ninani basi fisadi ndani ya ccm?
labda tumuulize mbowe ,mnyika,slaa,lipumba watuambie je ccm kunamafisadi? hakuna ushahidi wowote unaoonyesha ccm wapo mafisadi kwasababu hata waliokuwa wanamtaja naye kaonekana sio fisadi.
CCM HAKUNA FISADI TATIZO TULIDANGANYWA NA DR SLAA NA WENZAKE