Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.

Shule ilikuwa ya kanisa kabla serikali haijapewa kuiendeshaKama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.
Ungesoma comments za watu mbalimbali na kuzielewa, nadhani usingeandika hicho ulichokiandika..... Kuna Great Thinker mmoja kaandika haya........INAONEKANA HAO SI WAUMINI WA DINI BALI NI MASHABIKI WA DINI................Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.
Haya ni matokeo ya Serikali ya JK inayolea udini nchini
Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.
Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.
Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.
Wanaumwa hao, mbona hawaulizi pale Alharmain secondary Kariakoo kama kuna kanisa mle ndani?
Kwani hilo kanisa linalotumiwa na hao wanafunzi limo ndani ya eneo la shule? Na limejengwa na nani?Al haramain ni shule ya kiislamu, Je Ndanda ni ya serikali au kikristo?
Kwani hilo kanisa linalotumiwa na hao wanafunzi limo ndani ya eneo la shule? Na limejengwa na nani?
Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.
elewa kwanza! Shule ilikuwa ya kanisa kabla ya kuwa ya serikali. Na kanisa lipo nje ya eneo linalomilikiwa na shule kwa sasa.
kumbuka hyo shule ilkuwa ya wakatoliki so kanisa lilijengwa hapo ktambo